• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda yanyakua medali 4 ikiwemo 1 ya dhahabu katika mashindano ya Karate ya bara la Afrika.

    (GMT+08:00) 2018-09-03 09:50:43

    Timu ya taifa ya kriketi ya Rwanda imefanikiwa kujizolea medali nne ikiwemo moja ya dhahabu katika kinyang'anyiro cha mashindano ya kriketi barani Afrika.

    Mnyarwanda Ndutiye Shyaka Maic amenyakuwa medali ya dhahabu katika kupigana (Kumite) kwa kipengele cha wasiozidi uzito wa kilo 55.

    Medali nyingine zilizonyakuliwa na wanyarwanda ni pamoja na medali ya fedha imechukuliwa na Ngarambe Vanily katika kipengele cha wasiozidi uzito wa kilo 84.

    Niyitegeka Lucky ametwaa medali ya Shaba katika kinyang'anyiro cha makapera wanaozidi uzito wa kilo 59 baada ya kumchapa Van Wyk Danielle wa Afrika kusini.

    Naye Ntungane Espoir Amenyakuwa medali ya Shaba katika kupigana (Kumite), kinyang'anyiro cha waliochini ya uzito wa kilo 75 kwa kumshinda Achache Mouad wa Algeria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako