• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la FOCAC laongeza wanachama wapya watatu

    (GMT+08:00) 2018-09-03 17:12:24

    Rais Xi Jinping wa China amewakaribisha wajumbe kutoka Gambia, Sao Tome na Principe pamoja na Burkina Faso kuhudhuria kwenye mkutano wa kilele wa Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC. Zikiwa wanachama wapya wa baraza la FOCAC, nchi hizo tatu zimerejesha uhusiano wa kibalozi na China mwezi Machi, mwaka 2016, mwezi Disemba, mwaka 2016 na mwezi Mei, mwaka huu. Hivi sasa, China imeshaanzisha uhusiano wa kibalozi na nchi 53 za Afrika na kujenga uhusiano wa wenzi wa kimkakati na nchi 24 za Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako