• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China itashikilia miiko mitano katika ushirikiano kati yake na nchi za Afrika

    (GMT+08:00) 2018-09-03 17:25:08

    Rais wa China Bw. Xi Jinping amesema kuwa China na Afrika zimefuata njia yenye umaalumu dhahiri ya kufanya ushirikiano wa kunufaishana ili kupata maendeleo kwa pamoja, katika ushirikiano kati yake na Afrika, China itashikilia kutoingilia kati utafiti wa nchi za Afrika kuhusu kutafuta njia ya kujiendeleza inayolingana na mazingira yao, kutoingilia mambo ya ndani ya Afrika, kutozilazimisha nchi za Afrika kupokea nia yake yenyewe, kutoweka sharti lolote la kisiasa katika msaada wake kwa Afrika, na kutojitafutia faida binafusi ya kisiasa katika kuwekeza vitega uchumi na kukusanya mitaji kwa ajili ya Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako