• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaamini amani na maendeleo ni maudhui na somo kuu la zama hizi

    (GMT+08:00) 2018-09-03 17:36:32

    Rais Xi Jinping wa China leo amedhihirisha kuwa, China inaamini kithabiti amani na maendeleo ni maudhui na somo kuu la zama hizi. Ndiyo maana China inachukulia kazi ya kutoa mchango mkubwa zaidi kwa binadamu kuwa jukumu lake, na ingependa kushirikiana na wenzi wake wa ushirikiano wa kimataifa katika kujenga kwa pamoja "Ukanda mmoja, Njia moja", kufanya juhudi kubwa za kushiriki katika kazi ya kushughulikia masuala ya dunia nzima, na kushikilia mtazamo wa kushauriana, kujenga na kunufaika kwa pamoja. Pia amesisitiza kuwa China inashikilia kithabiti sera ya kufungua mlango, kulinda kithabiti uchumi wa dunia ulio wa kufungua mlango, na utaratibu wa biashara wa pande nyingi, huku ikipinga biashara ya kujilinda na utaratibu wa upande mmoja, amesema kujifunga kwenye kisiwa pekee hakutakuwa na mustakabali!

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako