• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuboresha miradi 50 ya utoaji msaada wa matibabu na afya barani Afrika

    (GMT+08:00) 2018-09-03 17:58:07

    Rais Xi Jinping wa China amesema kwenye mktuano kuwa, China imeamua kuboresha miradi 50 ya utoaji msaada wa matibabu na afya barani Afrika, kutoa kipaumbele katika ujenzi wa makao makuu ya kituo cha udhibiti wa maradhi barani Afrika na Hospitali ya urafiki kati ya China na Afrika; kuanzisha mawasiliano ya afya ya umma na ushirikiano wa upashanaji wa habari; kuwaandaa wataalamu wengi zaidi wa matibabu, na kuendelea kutuma madaktari barani Afrika; kuanzisha shughuli mbalimbali za kutoa matibabu katika sehemu mbalimbali barani Afrika na kutekeleza miradi inayolenga kuwahudumia wanawake na watoto.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako