• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuisaida Afrika kutekeleza miradi 50 ya kujiendeleza bila ya kuchafua mazingira na kulinda mazingira ya asili

    (GMT+08:00) 2018-09-03 18:08:00

    Rais Xi Jinping wa China amesema kuwa katika miaka mitatu ijayo na kipindi kijacho za baadaye, China itaisaidia Afrika kutekeleza miradi 50 ya kujiendeleza bila ya kuchafua mazingira na kulinda mazingira ya asili, na itatilia mkazo katika kuimarisha mawasiliano na ushirikiano katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, kufanya ushirikiano wa bahari, kuzuia na kudhibiti hali ya jangwa kwenye ardhi, kuwalinda wanyama pori na mimea, kusukuma mbele kujenga kituo cha ushirikiano wa mazingira kati ya China na Afrika, kutekeleza mpango wa kujiendeleza bila ya kuchafua mazingira wa China na Afrika katika usimamizi wa kazi ya kulinda mazingira ya asili, kuzuia na kudhibitia uchafuzi, na ukuaji wa uchumi wa bila ya kuchafua mazingira, kujenga kituo cha mianzi cha China na Afrika, na kuisaidia Afrika kuendeleza shughuli za mianzi na henzirani, na kuanzisha ushirikiano wa kueneza na kutoa mafunzo kuhusu kulinda mazingira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako