• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaamua kuingiza zaidi bidhaa za Afrika haswa bidhaa zisizo za maliasili

    (GMT+08:00) 2018-09-03 18:08:18

    Rais wa China Xi Jinping amesema kuwa China inaamua kupanua uingizaji wa bidhaa za Afrika haswa bidhaa zisizo za maliasili, kuunga mkono nchi za Afrika kushiriki kwenye Maonyesho ya kimataifa ya China kuhusu bidhaa zinazoingizwa kutka nje, kusamehe malipo ya nchi za Afrika zilizoko nyuma zaidi za kimaendeleo kushiriki kwenye maonyesho hayo. Ameongeza kuwa China itaendelea kutekeleza miradi 50 wa biashara huria kwa Afrika, kuunga mkono ujenzi wa maeneo ya biashara huria barani Afrika, kuendelea kufanya mazungumzo na nchi na sehemu za Afrika zenye nia ya kufanya biashara huria, kuhimiza ushirikiano wa biashara ya elektroniki kati ya China na Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako