• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaamua kuweka mfuko wa ushriikiano wa China na Afrika wa amani na usalama

    (GMT+08:00) 2018-09-03 18:08:49

    Rais Xi Jinping wa China amesema, China imeamua kuweka mfuko wa ushirikiano kati ya China na Afrika wa amani na usalama, kuunga mkono China na Afrika kuanzisha ushirikiano katika nyanja za Amani na usalama, na kulinda amani na utulivu, kuendelea kutoa msaada wa kijeshi kwa Umoja wa Afrika bila malipo, kuunga mkono juhudi za nchi za Sahel, Ghuba ya Adem, Ghuba ya Guinea na nchi nyingine kulinda amani ya kikanda na kupambana na ugaidi, kuanzisha Baraza la amani na usalama la China na Afrika, ili kutoa jukwaa kwa China na Afrika kuimarisha mawasiliano katika sekta ya amani na usalama, kutekeleza miradi 50 ya msaada wa usalama katika kujenga kwa pamoja "Ukanda Mmoja na Njia Moja", usalama wa jamii, kazi ya kulinda usalama ya Umoja wa Mataifa, kupambana na maharamia na kupambana na ugaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako