• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuanzisha taasisi ya utafiti wa Afrika

    (GMT+08:00) 2018-09-03 18:09:02

    Rais Xi Jinping wa China leo amesema, China imeamua kuanzisha taasisi ya utafiti wa Afrika, ili kufundishana katika utamaduni kati yake na Afrika. Katika miaka mitatu ijayo na kipindi kijacho baadaye, China pia itaanzisha mpango zaidi wa mawasiliano na utafiti wa pamoja kati ya China na Afrika, kutelekeza miradi 50 ya utamaduni, michezo na utalii, kuunga mkono nchi za Afrika kujiunga kwenye muungano wa sieta, majumba ya makumbusho, tamasha la michezo ya sanaa na mambo mengine ya kimataifa ya Njia ya Hariri, kujenga mtandao wa ushirikiano wa vyombo vya habari vya China na Afrika, kuendelea kuhimiza ujenzi wa vituo vya utamaduni wa pande mbili, kuunga mkono mashirika ya elimu yenye mazingira ya kufaa kuanzisha chuo cha Confucius, kuunga mkono nchi nyingi zaidi za Afrika kuwa sehemu zinazowapokea watalii wa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako