• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yawaondoa watu milioni 740 kwenye umasikini kuanzia mwaka 1978

    (GMT+08:00) 2018-09-03 19:32:35

    Idara ya Takwimu ya China (NBS) imesema watu milioni 740 walioko maeneo ya vijijini wameondolewa kwenye umasikini kuanzia mwaka 1978 hadi mwaka 2017.

    Idara hiyo imesema, kiwango cha umasikini katika maeneo ya vijijini kimeshuka kwa asilimia 94.4 katika kipindi hicho, huku kwa mwaka kikipungua kwa asilimia 2.4. takwimu za idara hiyo zinaonyesha kuwa, mafanikio ya kuondoa umasikini nchini China yamechangia asilimia 70 ya kazi ya kuondoa umasikini duniani katika miaka 40 iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako