• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Clarke Energy, kutekeleza miradi ya kawi Rwanda.

    (GMT+08:00) 2018-09-03 20:37:10

    Kampuni moja ya Uingereza, Clarke Energy, imeshinda zabuni ya kutekeleza miradi miwili ya kawi kutoka katika gesi ya methane katika zia Kivu nchini Rwanda.

    Mradi huo utahusisha uwekaji wa injini 25 ambazo zitatumia gesi hiyo kuzalisha kawi.

    Miradi hiyo inatarajiwa kuongeza hadi megawati 56 katika gridi ya taifa ma kufikisha megawati 81 umeme unaozalishwa ziwani humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako