• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa viongozi wa pamoja wa FOCAC wafanyika hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2018-09-04 10:47:02

    Mkutano wa viongozi wa pamoja wa mkutano wa kilele wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika umefanyika leo kwenye jumba la mikutano ya umma la Beijing.

    Rais Xi Jinping wa China na rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni mwenyekiti mwenzi wa FOCAC wa upande wa Afrika wataongoza majadiliano asubuhi na mchana, viongozi wa China na Afrika watabadilishana maoni kuhusu maendeleo ya uhusiano kati ya pande mbili na masuala ya kimataifa na kikanda, Taarifa ya Beijing kuhusu kujenga jumuiya ya mustakabali wa pamoja ya China na Afrika yenye uhusiano wa karibu na mpango wa utekelezaji wa mkutano wa kilele wa Beijing wa FOCAC kati ya mwaka 2019 hadi mwaka 2022 utapitishwa kwenye mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako