• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: UCC kuhakikisha waganda wote wanapata huduma za simu

    (GMT+08:00) 2018-09-04 19:37:21

    Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) imesema watumiaji wa simu watapata huduma za kuwasiliana na simu popite pale walipo nchini humo.

    Mkurungezi wa tume hiyo Godfrey Mutabazi, amesema watumiaji wa simu watapata huduma za kupiga na kupokea simu hata katika maeneo ambapo watoa huduma zao hawana mtandao.

    Pia amesema katika miezi sita hadi 12 ijayo, kampni zote za simu nchini humo zitakuwa na huduma ya 4G.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako