• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nahodha wa timu ya taifa ya Marekani atetea uamuzi wa kumteua Tiger Woods

    (GMT+08:00) 2018-09-05 09:59:06

    Nahodha wa timu ya taifa ya Marekani ya mchezo wa gofu Jim Furyk ametetea uamuzi wa kumteua Tigers Woods kuwa miongoni mwa wachezaji watatu viongozi watakaoshiriki mashindano ya kimataifa ya ufaransa yanayotarajiwa kufanyika mwezi huu.

    Nahodha amesema uteuzi wake umezingatia wachezaji waliofanya vizuri kwenye katika msimu wa mwaka huu, akisema dunia nzima imeshuhudia kiwango bora cha Tiger Woods hivyo hakusita kumteua na kumtangaza kuwa nahodha msaidizi.

    Wachezaji wengine walioitwa na nahodha huyo ni pamoja Brighton DeChambeau, na Fil Mickelson, na mashindano ya Ufaransa yanafanyika Septemba 28-30

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako