• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kocha Jose Mourinho akubali kwenda jela mwaka mmoja

    (GMT+08:00) 2018-09-05 09:59:44

    Kocha asiyeisha vituko nchini Uingereza, Jose Mourinho amekubali adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kukutwa na hatia ya kukwepa kodi.

    Kesi hiyo ambayo ilianza kusikilizwa Novemba 4 mwaka jana na mahakama ya Pozuelo de Alarcon ya mjini Madrid imehitimishwa baada ya uchunguzi na kwamba Mor ana hatia ya makosa mawili tofauti yenye vifungo vya miezi sita kila moja.

    Mahakama hiyo pia inatarajiwa kutoa uamuzi wa aidha kumpeleka kocha huyo wa Manchester United jela, au kumweka katika msamaha wa wakosaji wa mara ya kwanza na kumtaka alipe deni la kodi na fidia ya usumbufu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako