• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania:Mbinu mpya za kuchunguza uchakajuaji mafuta zazaa matunda

    (GMT+08:00) 2018-09-06 19:34:57

    Programu mpya za uchakachuaji mafuta zimepunguza uchakachuaji kwa asilimia 78 mwaka 2007 hadi asilimia 4 mwaka 2017.

    Mwenyekiti wa bodi hiyo Jamdi Kasida amesema wamefanikiwa kutekeleza programu za vinasaba hivyo vimefanya vyema kuanzia mwaka 2017 kutoka na ushirikiano mwema.

    Wamesema sasa programu hiyo italeta usawa katika ushindani na ubora wa mafuta.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako