• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China ampigia simu kiongozi Kim Jong-un wa Korea Kaskazini akiadhimisha miaka 70 ya taifa lake

    (GMT+08:00) 2018-09-09 17:26:00

    Rais Xi Jinping wa China amempigia simu kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kwa kuadhimisha miaka 70 ya taifa lake. Rais Xi amesema kwamba chama na serikali ya China inatilia maanani uhusiano wenye ushirikiano kati ya China na Korea Kaskazini, pia ana nia ya kuhimiza uhusiano wa nchi hizo mbili kuendelezwa kwa afya na utulivu, na kuwanufaisha watu wa nchi hizo mbili na kuhimiza utulivu na amani wa kanda hiyo.

    Aidha Rais Xi amemtakia heri kwamba chini ya uongozi wa chama cha wafanyakazi kinachoongozwa na Kim Jong-un, Korea Kaskazini itapata mafanikio makubwa kwenye ujenzi wa maendeleo ya taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako