• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping atoa salamu za Siku ya Walimu kwa walimu wote na watu wanaoshughulikia mambo ya elimu nchini humo

    (GMT+08:00) 2018-09-10 15:57:26

    Leo ni Siku ya Walimu nchini China.

    Mkutano mkuu wa elimu wa kitaifa umefanyika leo asubuhi hapa Beijing, ambapo Rais Xi Jinping wa China amehudhuria mkutano huo na kutoa hotuba muhimu.

    Katika hotuba yake, Rais Xi ametoa salamu kwa walimu wote na watu wanaoshughulikia mambo ya elimu nchini humo na kusisitiza kuwa, tangu muda mrefu uliopita, walimu wote wametoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya taifa na ustawi wa China. Rais Xi ameitaka jamii yote iwaheshimu walimu na kutilia maanani elimu, kuinua hadhi ya walimu, ili walimu wote wapate sifa za heshima, na kutoa mchango mkubwa zaidi katika kutekeleza majukumu ya Chama cha Kikomunisti cha China na wananchi wa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako