• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiwango cha uzalishaji nchini China chafikia asilimia 4.1 mwezi Agosti

    (GMT+08:00) 2018-09-10 16:49:02

    Mamlaka ya Takwimu nchini China imesema, kiwango cha uzalishaji nchini humo kwa mwezi Agosti kimeongezeka kwa asilimia 4.1 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho.

    Takwimu zilizotolewa leo na Mamlaka hiyo zimeonesha kuwa, alama ya manunuzi nchini China imeongezeka kwa asilimia 2.3 kwa mwezi Agosti ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huo, ikiwa ni ongezeko la asilimia 2.1 kwa mwezi Julai.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako