• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ma Yun atajizulu kama mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Alibaba

    (GMT+08:00) 2018-09-10 17:22:19

    Mwanzilishi wa Kampuni ya Alibaba Bw. Ma Yun ametangaza kuwa, tarehe kumi mwezi Septemba mwaka ujao, ikiwa ni maadhimisho ya miaka 20 tangu kampuni hiyo ianzishwe, atajizulu kama mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya kampuni hiyo, na nafasi yake kuchukuliwa na mkurugenzi mtendaji wa sasa Bw. Zhang Yong.

    Akizungumza maisha yake ya baadaye, Bw. Ma Yun amesema kuwa licha ya kuendelea kuhudumu kama mshirika wa Alibaba na kuchangia katika utaratibu wa wa usimamizi wa kiwenzi, anataka kurudi mambo yake ya elimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako