• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ripoti ya washauri bingwa kuhusu ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika yatolewa

    (GMT+08:00) 2018-09-10 18:49:26

    Ripoti za washauri bingwa kuhusu ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika iliyoandaliwa na taasisi ya Asia Magharibi na Afrika ya taasisi ya sayansi ya kijamii ya China pamoja na Idara ya ushirikiano wa kimataifa ya China imetolewa leo hapa Beijing.

    Ripoti hizo ni pamoja na ripoti kuu iitwayo Ushirikiano wa Kirafiki Kati ya China na Afrika: Mafanikio Mapya, Fursa Mpya na Matumaini Mapya, na ripoti nane nyingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako