• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Wizara ya umeme imekanusha madai ya kuongezeka ada za umeme

    (GMT+08:00) 2018-09-10 20:32:07

    Wizara ya nishati imeondoa madai ya kuongezeka kwa ada ya umeme kufuatia utekelezaji wa ushuru wa asimia 16 kwa mafuta ya petroli.

    Katibu wa kudumu wa Nishati Joseph Njoroge amesema umeme wa upepo wa mega wati 310 unao unganishwa kwenye gridi ya taifa utapunguza ushuru inayotozwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako