• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Rwanda: Ligi kuu kuanza Oktoba badala ya Septemba

    (GMT+08:00) 2018-09-11 09:10:33

    Shirikisho la soka nchini Rwanda FERWAFA, limetangaza kuwa, ligi kuu nchini humo ya msimu wa 2018/2019 itaanza rasmi mapema mwezi Oktoba badala ya Septemba kama ratiba ya awali ilivyokuwa inatarajiwa, na hii ni kutokana na maamuzi ya mkutano mkuu wa FERWAFA.

    Licha ya kuwa tarehe rasmi ya kuanza mashindano haijatajwa, lakini ligi hiyo imeratibiwa kumalizika mwezi juni mwaka 2019.

    Katika hatua nyingine FERWAFA imeunda bodi ya kushughulikia migogoro ya kisoka nchini Rwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako