• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka, Zinedine Zidane ataja wachezaji wanaofaa kuinusuru Man United

  (GMT+08:00) 2018-09-11 09:12:03

  Baada ya uvumi kuwa huenda Mourinho akaondolewa Manchester United na nafasi yake ikachukuliwa na kocha wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane, na licha kuwa mkurugenzi mtendaji wa United Ed Woodward kusema Mourinho haondoki. Tayari zinedine Zidane ametaja mkakati wake endapo atatua kuifundisha timu hiyo.

  Ili kurejesha matumaini katika kalbu hiyo, Zidane amesema jambo la kwanza itakuwa ni kuleta wachezaji wa kazi, ambapo amewataja miongoni mwao kuwa ni Toni Kroos wa Real Madrid, Tiago Alcantara na James Rodriguez wote kutoka Bayern Munich, na Edinson Cavani wa PSG.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako