• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapeleka askari 165 wa kulinda amani nchini Sudan Kusini

    (GMT+08:00) 2018-09-11 18:27:48

    Kundi la askari 165 wa kulinda amani kutoka China wameondoka mjini Zhengzhou, mkoani Henan kuelekea nchini Sudan Kusini ambako watatekeleza majukumu ya ulinzi wa amani kwa mwaka mmoja.

    Kundi hilo litatekeleza majukumu kadhaa ikiwemo kukarabati barabara, madaraja na viwanja vya ndege, pia ujenzi na usimamizi wa kambi za jenzi na kambi za wakimbizi, na kutoa misaada ya kiufundi katika maeneo watakayopangiwa.

    Kundi la pili linatarajiwa kuondoka mjini Zhengzhou tarehe 23 mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako