• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda kuanzisha huduma za boti

    (GMT+08:00) 2018-09-11 18:56:04

    Rwanda inapanga kuanzisha huduma za nne boti kwenye ziwa la kivu ili kurahisisha uchukuzi na biashara kati yake na eneo la mpakani la Rubavu.

    Boti hizo ni sehemu ya juhudi za kuongeza mifumo ya uchukuzi na kuunganisha reli, anga na uchukuzi wa barabarani.

    Baadhi ya mipago ya kukuza uchukuzi wa majini ni pamoja na kwenye ziwa la Kivu inayounganisha Rwanda na DRC na mto wa Akagera ambao unaingiza maji yake kwenye ziwa la Victoria, ambalo linapakana nan chi tatu Uganda, Kenya and Tanzania.

    Kwenye ziwa la Kivu Rwanda inapanga kuzindua boti mbili za abiria na mbili za mizigo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako