• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Watengenezaji wa bidhaa wakumbwa na upungufu wa sukari

  (GMT+08:00) 2018-09-11 18:56:34

  Upungufu wa sukari ya viwandani nchini Kenya umeathiri uzalishaji wa bidhaa za chakula.

  Wenye viwanda husika wamesema upungufu huo umesababishwa na ukaguzi wa polepole unaofanyw ana shirika la kukadiria ubora wa bidhaa kwenye bandari.

  Shirika hilo limeongeza hatua za ukaguzi hasa baada ya kashfa kukumba sekta ya sukari hivi karibuni ambapo serikali ilinasa tani nyingi za sukari feki.

  Watengenezaji bidhaa wameonya kwamba huenda wakalazimika kupunguza wafanyakazi wao iwapo hawatakuwa na sukari ya kutosha kuendelea na uzalishaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako