• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Benki ya dunia yandaa mkutano kujadili uwekezaji kwenye nyumba

  (GMT+08:00) 2018-09-11 18:59:06

  Viongozi wa biashara, wafadhili na watunga sera watakutana mjini Kigali kujadili njia za kuharakisha upatikanaji wa fedha kwa ajili ya uwekezaji katika sekta ya nyumba, kilimo na utalii katika nchi za Afrika Mashariki (EAC).

  Mkutano huo, unaandaliwa na Benki ya Dunia, na unatafuta njia za kuharakisha uwekezaji binafsi katika sekta tatu ambazo zitasaidia kuendesha ukuaji na ajira.

  Waandaaji wa mkutano huo wanasema lenwanalenga kujadili ujenzi nyumba za gharama nafuu ili kukabiliana na uhaba uliopo katika kanda ya Afrika Mashariki.

  Hivi sasa, kati ya nyumba 800 na 1,000zmakazi hujengwa kila mwaka, lakini nyingi zinalenga wenye kipato cha cha juu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako