• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo kikuu cha Redio na Televisheni cha China na shirika la habari la Russia Russia Today zasaini makubaliano

    (GMT+08:00) 2018-09-12 09:27:40

    Mkuu wa Kituo Kikuu cha Radio na Televisheni cha China Bw. Shen Haixiong na mkurugenzi wa Shirika la Habari la Russia Russia Today Bw. Dmitry Kiselyov jana huko Vladivostok walisaini makubaliano ya ushirikiano wa kimakakati kati ya pande hizo mbili.

    Kwa mujibu wa makubaliano hayo, pande hizo mbili zitashirikiana katika kubadilishana habari, kutoa ripoti kwa pamoja na kushirikiana kutangaza, ili kutoa ripoti zaidi katika utamaduni, uchumi, michezo na sekta nyingine, kuongeza idadi ya habari, na kuzidisha urafiki kati ya watu wa nchi hizo mbili.

    Rais Xi Jinping wa China na mwenzake wa Russia rais Vladimir Putin walishuhudia kusainiwa kwa makubaliano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako