• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka, Mechi ya Kirafiki: Uingereza yashinda 1-0 dhidi ya Uswisi

  (GMT+08:00) 2018-09-12 11:19:55

  Ili kujiweka sawa kwa ajili ya mechi yake ya hatua ya makundi ya ligi ya soka kwa timu za mataifa ya Ulaya, Uingereza jana imecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Uswisi.

  Katika mechi hiyo, Uingereza imepata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Marcus Rashford kunako dakika ya 54.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako