• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuungana katika kupambana na ugaidi nchini Syria

    (GMT+08:00) 2018-09-12 16:53:04

    Balozi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa Ma Zhaoxu ameitaka jumuiya ya kimataifa kuunda muungano ili kuendelea kupambana na ugaidi nchini Syria.

    Balozi Ma amesema hayo kwenye mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya Syria baada ya mkutano wa kilele wa viongozi wa Russia, Iran na Uturuki uliofanyika Tehran, Iran. Amesema China inapongeza matokeo ya mkutano huo na imezisifu nchi hizo tatu kwa juhudi zao za kutafuta suluhisho la kidiplomasia la mgogoro wa Syria. Amesema hakuna njia mbadala kwa suluhisho la kisiasa kama Syria inataka kutimiza amani na utulivu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako