• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marefa wa Algeria kuiamua mechi ya Rayon Sports na Enyimba FC wakiongozwa na Mustapha Ghorbal

  (GMT+08:00) 2018-09-13 09:14:55
  Muamuzi wa kati uwanjani Mustapha Ghorbal ndiye atakayeongoza mechi ya Rayon Sports ya Rwanda na Enyimbo FC ya Nigeria hatua ya robo fainali ya michuano ya CAF Confederation Cup itapigwa mjini Kigali Rwanda kwenye uwanja wa Nyamirambo.

  Mustapha Ghorbal ni muamzi wa kimataifa kwa miaka minne.Ni mmoja kati ya marefa anayejulikana kwa kutowahaurumia wachezaji wanapofanya makosa uwanjani. Msimu uliopita wa ligi ya Algeria kwenye mechi mbili za msimu huu, ametoa kadi 158 zikiwemo 11 nyekundu.

  Ataongoza mechi akiwa na wengine watatu wa Algeria.Msamamizi wa mechi atakuwa Saidou Diori Maiga wa Niger.

  Mechi ya marudiano itapigwa baada ya wiki moja Septemba 23 nchini Nigeria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako