• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • JKU yatwaa Ubingwa wa ligi kuu Visiwani kwa tabu sana

  (GMT+08:00) 2018-09-13 10:24:05
  Hatimaye ligi kuu Zanzibar imekamilika baada ya klabu ya JKU kutetea ubingwa wa soka visiwani kwa msimu wa 2017/18 baada ya kutoa kichapo kwa timu ya Jamhuri mabao 3-1 kwenye mchezo uliopigwa jioni ya jana uwanja wa amani.

  Mabao mawili kutoka kwa Salum Mussa mnamo dakika ya 2 na 70 na msumari wa Posiana Malik kunako dakika ya 36 yalihitimisha ndoto za JKU kumyakua ubingwa wa ligi kuu ya Zanzibar mara ya pili mfululizo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako