• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UEFA kuanzisha michuano mingine mipya ya soka

  (GMT+08:00) 2018-09-13 09:27:06
  Shirikisho la soka barani UEFA linatarajia kuanzisha michuano mingine mipya na ya tatu kwa ukubwa soka barani humo baada ya ile ya klabu bingwa Ulaya na Europa ligi.

  Kwa mujibu wa mwenyekiti wa muungano wa vilabu barani Ulaya, Andrea Agnelli, michuano ya hiyo ya tatu kwa ukubwa inatarajiwa kuanza kuanzia mwaka 2021.

  Agnelli amesema michuano itasaidia kuongeza vilabu vinavyoshirikia michezo ya ulaya kutoka 80 mpaka 96

  Wazo la kuanza kwa michuano hiyo kutaifanya michuano ya Europa ligi kupungua timu toka timu 48 mpaka 32. Hivyo michuano yote itakuwa na idadi sawa ya timu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako