• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Matokeo ya michezo ya klabu bingwa Ulaya upande wa wanawake

  (GMT+08:00) 2018-09-13 09:30:52
  Michuano ya klabu bingwa ya Ulaya kwa upande wa wanawake imeendelea jana kwa michezo 6. BIIK Kazygurt imeichabanga Barcelona 3-1, huku FC Rosengaard imeifunga VDV Rosengaard 1-0, Glasgow city yenyewe imefanikiwa kuishinda Somatio Barcelona FA magoli 2-0, Nao wadada wa Chelsea (Chelsea Ladies) imeichabanga bila huruma SFK 2000 Sarajevo kwa magoli 5-0, Bayern Minich nayo imeisambaratisha ZFK Spartak Subotica kwa jumla ya mabao 7-0 na Linkoepings fc imeibuka na ushindi wa magoli 6-1 dhidi ya WFC Zhytlobud.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako