• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kimataifa la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kuhusu ushirikiano wa umma katika kushughulikia mambo ya ikolojia umefanyika mjini Wuwei, mkoani Gansu, China.

    (GMT+08:00) 2018-09-13 19:47:19

    Mada ya mkutano huo ni kufahamisha uzoefu wa China katika kushughulikia mambo ya ikolojia, na kuhimiza ushirikiano wa kimataifa kati ya mashirika ya umma, ili kujenga na kunufaika kwa pamoja na mazingira mazuri ya ikolojia.

    Mkutano huo umeamua kujenga uhusiano wa kiwenzi na ushirikiano wa kimataifa wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" kati ya mashirika ya umma uanayoshughulikia mambo ya ikolojia, na mfuko unaochangisha fedha kwa ajili ya mpango huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako