• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya:Hazina kuu ya fedha yatetea ushuru wa asilia 16 wa petroli

  (GMT+08:00) 2018-09-13 20:09:01

  Hazina kuu ya fedha nchini Kenya imetetea utekelezaji wa asilimia 16 ya ushuru wa mafuta uliokashifiwa na kulalamikiwa na wafanyibiashara na wakenya kwa jumla.

  Katibu mkuu wa hazina hiyo Nelson Gaichuhie wamesema ukosefu wa ushuru huo utasitisha fedha za misaada ya elimu ,afya na miradi mengine muhimu nchini Kenya.

  Kufikia sasa hawajapewa agizo lolote la mahakama kusitisha utekelezaji wake.

  Kwa sasa mswada huo unasuburi kutiwa sahihi na Rais uhuru Kenyatta ili uwe sheria jambo ambalo wakenya wameendelea kulalamikia kwamba litavuruga hali ya kawaida ya maisha.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako