• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda:Kuwait kuwekeza dola milioni 50 barani Afrika

  (GMT+08:00) 2018-09-13 20:09:27

  Shirika la kitaifa la masuala ya angani nchini Kuwait (NAS )limetangaza kuwekeza miradi ya dola milioni 50 barani Afrika katika mda wa miaka mitatu ijayo.

  Hassan El Houry mkurugenzi mkuu wa shirika hilo ametoa ahadi hiyo katika kongamano la kimataifa la washikadau wa teknolojia uchumi na maendeleo.

  Hassan amesema maamuzi hayo yanalenga kutoa jukwaa la ukuwaji wa sekta za usafiri wa angani,mabohari na teknolojia za viwanda.

  Shirika hilo sasa linajenga upya uwanja wa ndege wa Kigali nchini Rwanda na kufanya harakati za kiviwanda katika nchi 10 Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako