• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Serikali ya Uganda yaingia jeke jeke kwa ongezeko la mikopo

    (GMT+08:00) 2018-09-13 20:09:55

    Serikali ya Uganda imeingia wasi wasi kutokana na kukithiri kwa mikopo iliyofikisha riba ya asilimia 30 ya bajeti yako.

    Waziri wa fedha nchini Uganda David Bahati amesema licha ya kwamba hawajafika asilimia 50 ya riba itawalazimu kubuni mbinu mbadala za kupata mapato.

    Nchi ya Uganda imeongeza kiu ya kutafuta fedha za mikopo ili kuifadhili miradi maalum .

    Kufikia mwezi Juni ,viwango vya deni la Uganda vilifikia asilimia 38.4 ya pato la jumla ikiwa ni ongezeko la silimia 2.4 kutoka mwaka jana.

    Aidha washikadau na wanauchumi wameshtumu mikopo inayochukuliwa kwa miradi isiyo msingi ambayo itashindwa kurehesha fedha hizo kwa serikali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako