• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya:China yasisitiza kuendelea kushirikiana na Kenya kiuchumi

  (GMT+08:00) 2018-09-13 20:18:13

  Uhusiano wa China na Kenya katika masuala ya uchumi na biashara unaendelea kukita mizizi kwa mujibu wa takwimu za msaada na mikopo ya China hivi karibuni.

  Kufikia mwaka huu China imeipati Kenya mikopo ya thamani ya trilioni moja.

  Ziara ya Rais Uhuru Kenyatta kwa rais wa China Xi Jinping ya hivi majuzi,huenda ikazaa matunda kwani China imekubali kuipatia Kenya mkopo wa shilingi bilioni 200 za ujenzi wa reli ya kisasa ya Naivasha hadi Malaba.

  Kenya inachukua nafasi ya tatu barani Afrika katika kwa kuitisha msaada kutoka China .

  China sasa imetoa misaada na mikopo ya thamani ya shilingi trilioni 20.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako