• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kuendelea wikiendi hii

  (GMT+08:00) 2018-09-14 10:41:41

  Ligi kuu ya Uingereza (EPL) itaendelea wikiendi hii siku ya jumamosi na jumapili kwa michezo kadhaa, katika mechi za jumamosi, Tottenham Hotspur itakwaana na Liverpool, AFC Bournemouth itakutana na Leicester City, huku Chelsea watakwaana na Cardiff City, nayo Huddersfield town itakutana na Crystal Palace, wakati Manchester City itamenyana na Fulham, mchezo mwingine ni kati ya Arsenal na Newcastle United.

  Jumapili zitapigwa mechi tatu, Watford watakutana na Manchester United, wakati Wolverhampton wanders watakipiga na Burnley, huku Everton itavaana na West Ham United.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako