• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa kilele wa FOCAC unachangia kuinua ushirikiano wa Kusini na Kusini kufikia ngazi ya juu

  (GMT+08:00) 2018-09-14 16:42:41
  Mshauri wa zamani wa Umoja wa Afrika kuhusu masuala ya uchumi Contatinos Bt. Constatinos amesema, mkutano uliofanyika hivi karibuni wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unasaidia kuinua ushirikiano wa Kusini na Kusini kufikia ngazi mpya.

  Msomi huyo raia wa Ethiopia amesema, kwa msaada wa Baraza hilo, ni hakika kuwa ushirikiano wa Kusini na Kusini kati ya China na Afrika utasonga mbele na kutimiza jamii yenye nguvu zaidi katika karne hii ya 21.

  Akizungumzia pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja lililotolewa na China, Bw. Constatinos amesema hiyo ni fursa nzuri kwa Afrika kuiga uzoefu wa maendeleo ya China, na kwamba pendekezo hilo ni jukwaa muhimu a kufanya mageuzi ya ushirikiano wa Kusini na Kusini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako