• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Riadha, Kenya: Rais Kenyatta aongoza wakenya kupongeza mabingwa wa mbio za Berlin

    (GMT+08:00) 2018-09-17 10:11:53

    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta jana ametoa salamu maalum za kuwapongeza Eliud Kipchoge na Gladys Cherono ambao kwa pamoja walifanikiwa kutetea ubingwa wa mbio za Marathon za Berlin kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake.

    Aidha amewapongeza washindi watatu kwa upande wa wanaume ambao wote ni kutoka Kenya, ambapo Katika ukurasa wake wa Twitter Rais Kenyatta amewataja kuwa ni mashujaa na wamepeleka heshima ya dunia nchini Kenya.

    Lakini mamilioni ya salamu za pongezi yalimiminika kutoka sehemu mbalimbali ndani nan je ya Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako