• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Masumbwi: Bondia Canero wa Mexico ashinda pambano dhidi ya GGG wa Kazakhstan

    (GMT+08:00) 2018-09-17 10:13:25

    Bondia Saul Canelo Alvarez wa Mexico amefanikiwa kutwaa ubingwa wa mikanda ya WBA na WBC katika uzito wa kati baada ya kushinda pambano la jana dhidi ya Gennady Golovkin wa Kazakhstan.

    Canelo alishinda kwa alama 115-113 na 114-114 zilizotolewa na majaji katika pambano lililofanyika huko Las Vegas nchini Marekani.

    Hii ilikuwa ni mara ya pili kwa wawili hao kukutana kwani mwaka mmoja uliopita walipigana pia na Canelo ndiye aliyeibuka mshindi. Aidha wamekubaliana kupanda ulingoni kuzipiga kwa mara ya tatu endapo wataridhia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako