• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Ligi Kuu ya Italia: Hatimaye Cristiano Ronaldo afunga goli lake la kwanza

    (GMT+08:00) 2018-09-17 10:14:18

    Hatimaye mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno amefunga goli lake la kwanza tangu ajiunge na ligi kuu ya Italia.

    Ronaldo amefunga magoli yote mawili katika ushindi wa magoli 2-1 wa timu yake ya Juventus dhidi ya timu Sassuolo uliopigwa jana mjini Turin.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako