• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Ligi kuu ya Uingereza: West Ham yapata ushindi wa kwanza msimu huu

    (GMT+08:00) 2018-09-17 10:15:07

    Wakati jana kocha mkuu Manuel Pellegrini akiadhimisha umri wa miaka 65, timu yake ya West Ham united ilipata ushindi mnono wa magoli 3-1 ambao ni wa kwanza kwa timu hiyo tangu msimu huu uanze.

    West Ham ilipata ushindi huo ikiwa ugenini dhidi ya Everton.

    Magoli ya West Ham ambayo imefungwa katika mechi zake nne zilizotangulia jana yalifungwa na Andry Yarmolenko aliyefunga mawili na moja likifungwa na Marko Arnautovic.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako