• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wasomaji wa vitabu kupitia mtandao wa internet nchini China wafikia milioni 400

    (GMT+08:00) 2018-09-17 19:01:14

    Idadi ya watu wanaosoma vitabu kupitia mtandao wa internet nchini China imeongezeka na kufikia milioni 400 mwaka huu, ikiwa ni karibu ya nusu ya watumiaji wa mtandao wa internet nchini humo.

    Ripoti iliyotolewa leo na Shirikisho la Uchapishaji wa Kidijitali wa Sauti na Video imesema, mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka jana, kazi milioni 16.47 zilichapishwa kwenye mitandao, huku asilimia 52.5 ya kazi hizo ikiwa ni kazi zisizo za kufikirika.

    Pia ripoti hiyo imesema watu milioni 14 wamejiandikisha kama waandishi katika tovuti za fasihi kwenye mtandao wa internet kwa mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako