• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ufisadi waonekana kugharimu Kenya mikopo mingi, Benki ya Dunia ya onya.

    (GMT+08:00) 2018-09-17 19:35:57
    Kenya inauwezekano wakilipa zaidi kwa mikiopo yake ya maendeleo kutokana na ufisadi katika sekta ya umma.

    Kulingana na Benki ya Dunia, ukosefu wa uwazi na mageuzi ya taasisi dhaifu kutachangia pakubwa.

    Aidha benki ya dunia inasema hii inaweza kuongeza viwango vya riba kwenye mikopo ya maendeleo na kupunguza vipindi vya ulipaji.

    Pia itafanya kuwa vigumu kwa Serikali kupata mikopo ya kifedha kwa masharti ya chini, jambo ambalo litasababisha Hazina ya taifa kuomba madeni ya bei ghali ya kibiasahara, ili kupunguza nakisi ya fedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako