Wabunge wiki hii, watakuwa na kikao maalum kwa mjadala wa pendekezo la Rais Uhuru Kenyatta la kupendekeza VAT ya asilimia 8 kwa bidhaa za mafuta.
Wiki iliyopita, Rais Kenyatta alirudisha bili ambayo inapendekeza kusimamisha kwa ongezeko la VAT ya asilimia 16 kwa sababu haionyeshi changamoto zinazoongezeka nchini.
Pendekezo hilo,ikipitishwa na Bunge,itaona mafuta petroli ikishuka kutoka sh 127 hadi sh 118 wakati Dizeli itanunuliwa kwa Sh107 kutoka Sh115.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |