• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: wabunge wajiandaa kwa kikao maalum kujadili pendekezo la Rais kuhusu ushuru wa asilimia 8 kwa mafuta

    (GMT+08:00) 2018-09-17 19:42:52

    Wabunge wiki hii, watakuwa na kikao maalum kwa mjadala wa pendekezo la Rais Uhuru Kenyatta la kupendekeza VAT ya asilimia 8 kwa bidhaa za mafuta.

    Wiki iliyopita, Rais Kenyatta alirudisha bili ambayo inapendekeza kusimamisha kwa ongezeko la VAT ya asilimia 16 kwa sababu haionyeshi changamoto zinazoongezeka nchini.

    Pendekezo hilo,ikipitishwa na Bunge,itaona mafuta petroli ikishuka kutoka sh 127 hadi sh 118 wakati Dizeli itanunuliwa kwa Sh107 kutoka Sh115.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako